Site icon A24TV News

SERIKALI YAKIHAKISHIA KIWANDA CHA KAGERA SUGAR MAZINGIRA YA UWEZESHAJI WA UZALISHAJI WA SUKARI

Naibu Katibu Mkuu wa wizara ya uwekezaji Viwanda na Biashara Dkt .Hashil Abdalah ameakikishia  kiwanda uzalishaji wa sukari cha kagera sugar kuwa serikali itahakikosha inayenveneza mazingira rafiki ya kuwezesha kukua na kufanya biashara uzalishaji wa sukari

Ameyasema hayo wakati wa ziara ya kamato ya kudumu ya Bunge ya Biashara viwanda na mazingira kwenye kiwanda hicho pamoja na mashamba yaliopo Mkoani Kagera .