Site icon A24TV News

Tanzania yapiga Hatua katika Mawasiliano Africa Mashariki Rwanda

Rwanda .

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Dkt. Jabiri Bakari (kushoto) na Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) Bi. Justina Mashiba (kulia) wakifurahia jambo wakati wa dhifa ya chakula cha mchana iliyoandaliwa kwa washiriki wa Mkutano Mkuu wa Maendeleo ya Mawasiliano Duniani (ITU-WTDC-2022), Kigali – Rwanda.

Tanzania imetumia fursa hiyo kuongeza wigo wa mashirikiano katika sekta ya mawasiliano sambamba na kuomba uungwaji mkono kuchaguliwa kama Mjumbe wa Baraza-Tendaji la ITU.