Site icon A24TV News

MAANDAMANO YA UHAMASISHAJI WA SENSA NA MAKAZI JIJINI ARUSHA NA VIONGOZI WA DINI ,MILA

Taasisi ya TWARIQATUL QUADIRIA JAILANIYA ya Jijini Arusha imeandaa maandamano ya uwamasishaji wa Sensa na Makazi kwa kuwashirikisha viongozi wa Dini ,Viongozi wa Mila Jijini Arusha kuelekea kilele cha Sensa tarehe 23 Agust 2023

Picha katika matukio 

Picha ya waendesha boda boda wakiwa katika Maandamano ya uwamasishaji wa Sensa katika jiji la Arusha.

Viongozi wa Mila wakiwa katika maandamano ya pamoja jijini Arusha .