Site icon A24TV News

SIO YA KUKOSA DAY TRIP UTALII WA NDANI TUMUUNGE MAMA MKONO

Katika kuunga jitiada za Mh Rais Samia Suluhu Hassan kutangaza utalii wa hapa nchiji Campuni ya utalii ya Jungle of Kilimanjaro Trips jnakuletea Safari ya Day Trip Tarehe 24 September 2022

Imeandaliwa na Compuni ya utalii ya Jungle of Kilimanjaro trips ,

Nia ya trip hii nikuwakutanisha wadau kutoja setor tofautitofauti ,, na Dhumuni kubwa ni kutangaza utalii wa ndani na kivutio hiki hadimu cha LAKE CHALA ,,

Watu wendi hawafahamu kuhusu Lake Chala na maajabu yake ,,! Sasa hii ni nafasi pekee ya kujua na kuunga mkono juhudi za mama kwani Wanawake ni jeshi kubwa ,,

Jambo lingine ni kushawish Wanawake kuweza kudhiriki katika kuutangaza utalii wa ndani