Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko ambaye ndiye mgeni rasmi katika ufunguzi wa Mkutano wa Jumuiya ya Wajiolojia Tanzania akiwa ameambatana na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini Msafiri Mbibo, tayari amewasili katika eneo la mkutano na sasa anatembelea mabanda ya maonesho.