Site icon A24TV News

MKURUGENZI WA BANK YA DUNIA ARIDHISHWA NA UWEKEZAJI UNAOFANYWA NA SERIKALI YA TANZANIA..

Na Geofret Stephen Arusha

MKURUGENZI WA BANK YA DUNIA KWA NCHI YA TANZANIA,MALAWI,ZAMBIA NA ZIMBABWE NATHAN BALETE AMEONESHWA KURIDHISHWA NA UWEKEZAJI KUBWA UNAOFANYWA NA SERIKALI YA TANZANIA KWA KUSIMAMIA MIRADI MBALI MBALI IKIWEMO MRADI WA NISHATI MBADALA WA KIKULETWA ILIYOPO WILAYANI HAI  MKOANI KILIMANJARO.

MRADIO HUO WA DOLLAR MILIONI 6 WENYE LENGO LA KUONDOA CHANGAMOTO YA UMEME HUKU AKIELEZA NIA YA BENKI HIYO KATIKA KUWEKEZA KWA VIJANA WA KIAFRIKA KATIKA KUSIMAMIA MIRADI INAYOFADHILIWA NA BENKI HIYO.

AMESEMA WAO KAMA SEHEMU YA MRADI HUO WANAFURAI KUONA HITIADA KUBWA ZA CHUO HICHO CHA ATC LUSIMAMIA VYEMA MIRADI YA MAENDELEO KAMA HUO WA KIKULETWA

AMETOA KAULI HIYO MARABAADA YA KUTEMBELEA CHUO CHA A UFUNDI ARUSHA KWA  AJILI YA KUJIONEA MIRADI MBALII MBALI IKWEMO MRADI WA MAFUNZO YA UMEME JADILIFU INAYOTEKELEZWA NA CHUO HICHO AMBAYO INAFADHILIWA NA BENK HIYO 

MSIMAMIZI WA MRADI WA MAFUNZO YA UMEME JADILIFU KIKULETWA SITHOSE MWAKATAGE AMESHUKURU BANK YA DUNIA KUPITIA KWA MKURIGENZI HUYO HAPA NCHINI KWA KUWAPA FEDHA ZA UTEKELEZAJI WA MRADI WA MAENDELEO IKIWA NI SEHEMU YA KUTATUA CHANGAMOTO ZA NISHATI KWA NCHI HIZO …

MKUU WA CHUO CHA UFUNDI ARUSHA DOKTA MUSA CHACHA AMESEMA MRADI HUO UTAWAJENGEA HESHIMA NA UAMINIFU KWA TAASISI ZINGINE ZINAZO FADHILIWA NA BANK HIYO.

AMESEMA MKURUGENZI HUYO AMEFURAISHWA NA UJENZI WA MAJENGO YA CHUO CHA UFUNDI AMBAYO IMELUA IKISIMAMIWA NA FEDHA ZA NDANI NA KUTUMIKA KIDOGO KUKAMILISHA UNENZI WA MABWENI NA MAHABARA KATIKA CHUO CHA UFUNDI ARUSHA  ….

MWISHO