Site icon A24TV News

Serikali Kutengeneza Mfumo wa Kielotroniki kubaini wasio fanya Kazi Maafisa Ogani .

SERIKALI KUPITIA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI SEKATA YA MIFUGO IMESEMA INATARAJI KUTENGENEZA MFUMO WA KIELEKRONIKI AMBAO UTAWEZA KUBAINI MAAFISA OGANI WASIO FANYA KAZI KWA KUONA KAZI ZINAZOENDELEA WAKIWA KWENYE MAENEO YA KAZI IKIWEMO KUTOA USAHAURI KWA WAFUGAJI PAMOJA NA KUTIBU MIFUGO.

HAYO YAMEBAINISHWA NA KATIBU MKUU WIZARA YA MIFUGO UVUVI TIXON NZUNDA AKIWA HAPA MJINI MAKABAKO MKOANI NJOMBE WAKATI AKIFUNGUA MAFUNZO YALIYOWAKUTANISHA MAOFISA MIFUGO KUTOKA MIKOA YA NYANDA ZA JUU KUSINI AMBAPO PIA AMESEMA ILI KULINDA AFYA ZA MIFUGO NA WATUMIAJI SERIKALI KUPITIA WIZARA YA MIFUGO INATARAJIA KUJENGA MAJOSHO 260 NDANI YA MWAKA WA FEDHA 2022-2023.

BAADHI YA WADAU NA VIONGOZI WA SERIKALI AKIWEMO KATIBU TAWALA WA WILAYA YA NJOMBE EMANUEL GEORGE WANASEMA ILI KUINUA SEKTA YA UFUGAJI MAAFISA MIFUGO WANATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA KUTOA ELIMU KUWASAIDIA WAFUGAJI KUFANYA UFUGAJI BIASHARA AMBAO UNATENGENEZA FAIDA KUBWA NA HAUATHIRI MAZINGIRA.

BAADHI YA MAAFISA UGANI WAMEIOMBA SERIKALI KUENDELEA KUTATUA CHANGAMOTO ZINAZOIKABILI SEKTA HIYO.