Site icon A24TV News

MKUTANO MKUU NPC NJOMBE Na Emmanuel mkulu

 


Na Emmanuel mkulu

Chama cha Waandishi wa Habari mkoa wa Njombe, Njombe press club NPC kimefanya mkutano mkuu mkoa humo huku agenda kuu za mkutano huo mkuu ikiwa ni Marekebisho ya katiba pamoja na kubariki uongozi wa muda ulio kuwa umechaguliwa kuendelea baada ya kuridhishwa na utendaji kazi wake

Hatuo hiyo imefikiwa hapo Disemba 24 ambapo mkuno huo kwa umoja wa wananchama wake umetoa baraka kwa viongozi wa muda ambao wLaluchaguliwa kutokana na changamoto zilizo kuwepo katika chama hicho kufanya kazi zilizo walidhisha wanachama.

Aidha mkutano huo kwa kujali na kuzingatia masilahi ya chama mkoani humo NPC umefanya marekebisho ya KATIBA yake illi kuongeza umakini na uhai wa chama na wanachama wake

Katika hatua nyingine mkutano huo kwa kauli moja umeweka vipaumbele vya kuimarisha vyanzo vya mapato vipya vitakavyo imarisha uchumi wa Chama hicho wakati wote