Site icon A24TV News

PICHA YA NABII MKUU GEORDAVIE YAPEPEA MLIMA KILIMANJARO KILELENI

Mabalozi wa Nabii Mkuu Geordavie  Tanzania wesherekea miaka 61 ya uhuru wa Tanzania kwa kuapandisha picha ya Nabii Mkuu Mh Geordavie kwa lengo la kutambua mchango wake katika kutumikia jamii ya watanzania na Dunia kwa ujumla

Umoja huo ambao ni mabalozi wa kazi ambazo amekua akifanya Nabii Mkuu kwa jamii na kuzitangaza katika mitandao ya kijamii walianza rasmi mchakato wa kupandisha picha iyo mnamo tarehe 5 kuelekea kilele cha mlima kilimanjaro tarehe 9 Mwezi Dwcember ambayo ni siku ya uhuru wa Tanzania ambapo Dunia kwa ujumla ilikua ikifatilia zoezi ilo la viongozi wa serikali pamoja na wanachi kupanda mlima huo mkubwa baraninAfrica

Katika maadhimisho ayo ya uhuru mabalozi hao walisema kwamba kutokana na umuhimu na kutambua kazi ambazo zimekua zikifanyika na Nabii Mkuu Mh Geordavie wameona Dunia kutambua kwamba kupandisha picha iyo kilimani inaonyesha kwamba Nabii Mkuu amekua sehemu ya kutatua changamoto za wananchi na ndio maana wamepandisha kileleni kufikisha ujumbe kwamba ni mtu ambaye pamoja na kwamba ni mtumishi wa Mungu lakini amekua sehemu ya kuwainua wasio jiweza ,na kuwapandisha katika maisha mengine

Mabalozi hao wamekua wakivutiwa na kazi za Nabii Mkuu ikiwemo kujitolea kuwapa mitaji wakina mama na vijana ambapo siku za karibuni alisaidia makundi mbali mbali mitaji ikiwemo bajaji kwa vijana piki piki bila kujali dini wala kabila la mtu

Nabii Mkku Geordavie ammitandaoutio kwa Dunia kutokana na aina yake ya kugusa wenye maitaji na pia kushirikiana na watumishi wengine wakiwemo wachungaji Maaskofu na Masheikh kujenga makanisa pamoja na misikiti hii yote ni kutambua kwamba Mungu amemtuma kuwafikia mataifa yote .

Mabalozi hao wa kazi za Nabii Mkuu wamesema kwamba watendelea kumtangaza Mh Nabii Mkuu kwa kazi zake nyingi kwani pia walifaka katika madhabau yake na kuwashika mkono katika kufungua Ofisi katika mikoa ya Dodoma Tanga Morogoro Mbeya, Dar es saalam  na Makao makuu Arusha

Hivi karibu Nabii Mkuu