Site icon A24TV News

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM BARA NA MWENYEKITI WA CHADEMA IKULU

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM BARA NA MWENYEKITI WA CHADEMA IKULU

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Mhe. Freeman Mbowe pamoja na Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Ndugu. Abdulrahman Kinana wakati akipokea taarifa ya Maendeleo ya mazungumzo ya mchakato wa maridhiano ya kisiasa, Ikulu Jijini Dar es Salaam 

  

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Mhe. Freeman Mbowe pamoja na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Ndugu. Abdulrahman Kinana  mara baada ya kupokea taarifa ya Maendeleo ya mazungumzo ya mchakato wa maridhiano ya kisiasa, Ikulu Jijini Dar es Salaam.