Na Geofrey Stephen Arusha .
SERIKALI YA JAMUHURI YA KOREA KUSINI IMEANZA KUWANOA WATANZANIA KUPITIA CHUO CHA UFUNDI ARUSHA(ATC) JUU YA kUTENGENEZA PIKIPIKI INAYOTUMIA UMEME WA BETRY ILI KUPUNGUZA GHARAMA YA UENDESHAJI KWA WAMILIKI WA VYOMBO HIVYO NA KUONGEZA AJIRA KWA VIJANA NCHINI.
PROGRAMU HIYO INATEKELEZWA NA CHUO KIKUU SOUL,HANYANI KWA KUSHIRIKIANA NA CHUO CHA UFUNDI ARUSHA AMBAPO WANAFUNZI SABA WA (ATC) WAMEENDA KOREA KUSINI KUCHUKUA UJUZI IKIWA WAMESHATENGENEZA PIKIPIKI KWA AJILI YA KUANZISHA KIWANDA JIJINI ARUSHA.
MKUU WA MKOA WA ARUSHA, JOHN MONGELA AKISHUHUDIA PIKIPIKI HIYO ILIYOTENGEZWA NA BAADHI YA WANAFUNZI WA CHUO CHA ATC AMESEMA LENGO LA USHIRIKIANO huo NI KUHAKIKISHA PIKIPIKI YA AINA HIYO INATEGENEZWA
MOJA WA WAALIM , CHUO KIKUU CHA KITAIFA CHA SOUL AMESEMA ITASAIDIA KUONGEZA CHACHU YA MAENDELEO YA UCHUMI NCHINI.
MPAKA SASA NI ATUA KUBWA SANA KWA CHUO CHA UFUNDI KUPATA WATAALAM HAO KWANI KUMEKUA NA GARAMA KUBWA ZA UWINGIZAJI WA PIKI PIKI NCHINI AMBAZO ZINGINE AZINA UBORA JAMBO LINALO WARUDISHA NYUMA VIJANA WANAO JIAJIRI LUENDESHA PIKI PIKI KIBIASHARA .
MMOJA WA WANAFUNZI WALIOWEZA KUTENGENEZA PIKIPIKI HIYO,FRANK MANONGI AMESEMA KUWA UBUNIFU HUO NO WA ALI YA JUU SANA KWANI PIKIKI HIZO NI RAFIKI WA MAZINGIRA NA GARAMA YAKE NI NAFUU .
AMEFAFANUA KUA UBORA WA PIKI PIKI HIZO NI MZURI NA PIA INADUMU NA UWENDESHAJI WA GARAMA NAFUU TOFAUTI NA PIKI PIKI ZINGINE ZINAZO TUMIA MAFUTA MWANAFUNZI UYO AMESEMA UJUZI HUO UTASAIDIA KUINUA UCCHUMI KWANI WAPO TAYARI KUENDELEZA UJUNZI KWA WATANZANIA WENGINE .