Mawakala wa utalii kutoka Marekani watoa elimu kwa waongoza watalii wa Tanzania
Geofrey Stephen
Na Geofrey Stephen Arusha .
MAWAKALA WA UTALII KUTOKA MAREKANI WALIOKO NCHINI WAMETOA ELIMU KWA WAONGOZA WATALII WA TANZANIA INAYOLENGA KUWAWEZESHA KUVUTIA WAGENI WENGI NA KUONGEZA TIJA KWA WENYEWE NA TAIFA KWA UJUMLA .
WAKIZUNGUMZA NA WAONGOZA WATALII HAO JIJINI ARUSHA KIONGOZI WA MAWAKALA HAO BW ENNIO GONZALEZ AMESEMA UTALII WA TANZANIA UNA NAFASI YA KUONGEZEKA MARADUFU YA ULIVYO SASA KWANI KUMEKUWEPO NA MAUSIANO MAKUBWA KATIKA SEKTA HIYO MARA BAADA YA ROYAL TOUR YA MH RAIS WA TANZANIA .
MKURUGENZI MKUU WA KAMPUNI YA UTALII ZARA TOURS YA NCHINI TANZANIA YENYE MAKAZI YAKE MOSHI MKOANI KILIMANJARO ZAINABU ANSEL AMEMSHUKURU MH RAIS KWA JITIADA ZAKE ZA KUKUZA SEKTA YA UTALII NCHINI AMBAPO WAMEONA MATUNDA YA SIARA ZAKE KATIKA KUTANGAZA VIVUTIO VILIVYO TANZANIA .
ZAINABU ASEMA UJIO WA MAWAKALA HAO UTAWAONGEZEA MAWASILIANO MAKUBWA YA KUTANGAZA UTALII KIMATAIFA KWAKUA MAWAKALA HAO WANASHUGHULIKA NA NCHI MBALI MBALI DUNIANI KUTANGAZA VIVUTIO HIVYO .
MBALI NA KUBADILISHA UZOEFU PIA WAONGOZA UTALII HAO WAME FURAIYA MAPOKEZI WALIONYAPATA KUTOKA KWA MAWAKALA HAO AMBAPO KAMPUNINYA ZARA TOURS ILIWAPA ZAWADI MBALIBALI NA KUONYESHA KUFIRAIYA ZAWAIDI HIZO ZENYE ASILI YA KITANZANIA.
KATIBU MKUU WIZARAYA UTALII TANZNAIA POFESSA ELIAMANI SEDOYEKA AMESEMA ZIARA YA MAWAKALA HAO NI SEHEMU YA MATOKEO YA FILAM YA ROYAL TOUR ILIYOANDALIWA NA MH RAIS SAMIA SULUHU HASSAN IKIELEZEA UBORA WA VIVUTIO VYA UTALII VYA TANZANIA..