Site icon A24TV News

NI HISTORIA MCHUNGAJI ATUMIKIA KANISA MIAKA 34 ALIACHA KAZI YA KUCHOMELEA VYUMA

Matukio katika picha kutoka kanisa la KKKT   Usharika wa Salei Mtaa wa Levolosi ibada ya kustaafisha Mchungaji Israel Ole Meitamei Laizer

Mchungaji Israel Ole Meitamei akiwa amesimama wakati wa kusomewa historia ya kutumikia.kanisa na katibu Mkuu wa Dayosisi ya Kazkazini kati John Tanaki 

Katibu Mkuu wa Dayosisi ya Kazkazini kati John Tanaki Akisoma historia ya utumishi wa Mchungaji Israel Ole Mitamei

Askofu Johannes KutukOle Meliyo kutoka kanisa la kinjili la kilutheri Kenya akiongoza ibada ya Neno la Mungu .

Picha ya washarika wakifatilia ibada ya kumstaafisha mchungaji Israel Ole Meitamei 

Kwaya mbali mbali zilizo.alikwa zikitoa burudani ya kuimba katika ibada iyo ya kumstaafisha mchungaji Israel Meitamei

Wachungaji kutoka sharika mbali mbali wakifatilia ibada ya kumstaafisha mchungaji Israel Meitamei 

Mwisho