Na Geofrey Stephen . A24TV
Niliamua kuacha kazi mimi monyewe kustaafu kwa umri wangu mdogo wakati nilikua nalipwa fedha nzuri tu nikaona sintaweza kufikia malengo yangu na baadae nikaanzisha biashara mpya mtandaoni kusaidia watanzania wenzangu na wengine nje ya watanzania
Mwanamke uyu akizungumza na vyombo vya habari juu ya yeye kuusishwa na swala zima la kua free mason kutokana na maendeleo aliyo nayo ya araka na pesa nyingi kwa biashara yake ya mtandaoni ya kusaidia jamii yenye changamoto mbali mbali ameleeza kwamba mtaji wa maskini ni nguvu zake monyewe .
Masipeti amesema kwamba mara baada ya kuacha kazi katika Hospital aliona Tangazo la fursa katika mitandao juu ya page ya jaribu ukishindwa uwache na ndipo alijaribu kuthubutu fursa hii na kuanza kuona matunda yake na kuanza kutoa uduma kwa jamii katika mitandao ya kijamii amba ambayo ni maarufu ikiwemo @masipetii @pesa_heshima_mjini @masipetii
@pesa_heshima_mjini.
Amesema fursa iyo imemsaidia kufikia kujenga nyumba nne za kisasa ikiwemo nyumba ya mama yake mzazi ilioko nje kidogo jijini Arusha na nyingine ilioko njiro Jijini Arusha nyumba ya tatu ilioko jijini Dar es salaam ambapo pia amejenga nyumba kubwa ya kisasa ya nne ya garama ya kubwa shilingi million 280 anaishi yeye na sehemu jingine ya wapangaji wake .
Masipeti amesma licha ya kufanya biashara zake katika mitandao amekua akikutana na changamoto ya kuitwa free mason.
Kitu ambacho jambo ambalo kijana mdogo akifani tu na kupata pesa katika umri mdogo anaonekana ni tapeli ,mwizi au free mason, jambo ambalo amesema sio jema katika masikio ya wanao pambana na maisha lolote linawezekana .
Kingine amesema kwamba vijana wawe na nidhamu ya pesa kwani wamekua na tabia ya kupata fedha lakini awapangii matumizi kufanya maendeleo ya kujiinua katika maisha kwani pesa aiji mara mbili unapopata fursa wekeza katika jambo ambalo unaona liko ndani ya uwezo wako katika kulisimamia na kufikia maendeleo.
Masipeti amesema vijana wengi wanakatishwa tamaa sana na wengi wao ni ndugu jamaa marafiki hivyo ametoa rai kwa jamii kuto kukatishwa tamaa kwani mtaji wa kwanza wa binadamu ni akili ,utimamu wa mwili ,kujifunza kwa aliye fanikiwa .
Kwa mawasiliano zaidi mfuatilie kupitia mitandao ya kijamii kwenda @pesa_heshima_mjini @masipetii
@pesa_heshima_mjini.
Mwisho