Site icon A24TV News

MWANDISHI WA HABARI MAARUFU ALLAN ISACK AITAKA NAFASI YA MNEC

MWANDISHI wa Habari Allan lsack,amejitosa kuwania nafasi ya Ujumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa(NEC),Mkoa wa Arusha.
Allan ambaye ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Kata ya Themi, Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Kata ya Themi na Mjumbe wa Kamati ya Usalama na Maadili ya Kata ya Themi,amechukua fomu leo Ofisi ya CCM Mkoa wa Arusha.