Site icon A24TV News

UWEKEZAJI MKUBWA WA SHULE YA KISASA MIRERANI SIMA JIRO MKOANI MANYARA

Muonekano wa majengo wa ya kisasa shule ya awali ya mchepuo wa kingereza GLISTEN PRE $ PRIMARY SCHOOL .

Muonekano wa nje wa madarasa ya GLISTEN PRE $ PRIMARY SCHOOL.

Vyoo vya kisasa kabisa katika shule ya mchepuo wa kingereza ya GLISTE PRE $ PRIMARY SCOOL

Jengo la utawala ofisi za waalimu katika shule ya mchepuo wa kingereza GLISTEN PRE $ PRIMARY SCHOOL

MWISHO