Site icon A24TV News

MBUNGE KONDESTA K VANT NA ZINGINE ZIPEWE ESHMA KAMA VINYWAJI BORA NCHINI MSUKUMA NDIO TUNATUMIA NA MAPROFESA

Mbunge wa Jimbo la Geita Joseph Kasheku mapema leo Bungeni wakati wa uchambuzi wa bajeti ya wizara ya uwekezaji na Viwanda amekiri kua yeye ni mwanacha na mpezi wa kinywaji cha K vant na kwa utafiti wanatumia yeye na maprofesa wasomi

Mbunge uyo ametaka wizara ya Viwanda na  uwekezaji kusaidia waekezaji wa ndani wenye viwanda kuondoa mtiririko wa kodi zinawasumbua ktk viwanda kufanya uzalishaji.

Hii ni mara ya pili kwa kiwanda cha  kutengeneza K Vant cha Mega Bavarage bidhaa yake kuingizwa Bungeni ikiwa ni kinywaji bora na kutolewa mfano na wabunge kuhusu bei ya bidhaa izo kuuzwa bei ya chini ikilinganishwa na bidhaa zinazo toka nje na waekezaji wa ndani kusumbuliwa na changamoto ya utitiri wa kodi

Mbunge Kondesta wa Jimbo la Sichwale ameonyesha kukoshwa na ubora wa wa pombe kali aina ya K Vant inayo zalishwa na kiwanda cha Mega Bavarage cha jijini Arusha na kuingia nayo Bungeni na kutaka serikali kutambua bidhaa za nyumbani kama inavyo pewa vipao mbele vinywaji kutoka nje ya nchi.

Mwisho