Site icon A24TV News

AJALI NJOMBE WATANO WADAIWA KUPOTEZA MAISHA

Na Mwandishi A24Tv Njombe .

Watu watano akiwemo mtoto wa kike miaka nane hadi tisa Wadauwa Kupoteza maisha huku wengine kadhaa wakijeruhiwa katika ajali ya gari aina ya New Force namba T173 DZU linalofanya safari zake kutoka jijini Dar es salaam kwenda mkoani Rukwa katika kijiji cha Igando kata ya Luguda wilaya ya wanging’ombe mkoa wa Njombe

Akitoa taarifa za awali Kamanda wa polisi mkoa wa Njombe John Makuri Imori,amesema ajali hiyo imetokea juni 21 majira ya saa nane na nusu mchana

Aidha Ameswma basi la New Force lilikuwa linatoka Dar es salaam kwenda mkoani Rukwa,Sumbawanga na Mara baada ya kufika eneo la Igando sehemu ya daraja likawa linataka kuovartake ndipo likapoteza muelekeo na kutumbukia mtaloni.

TAARIFA ZAIDI ENDELEA KIFUATIKIA KITUO CHETU

Mwisho.