Site icon A24TV News

MASISTA WASITAAJABU KUUSHIKA MWENGE WA UHURU WILAYANI LUSHOTO (M) TANGA.

Na Mwandishi wa A24Tv lushoto Tanga .

_Masista wa Mazinde Juu Wilayani Lushoto Mkoani Tanga wamestaajabu kuushika mwenge wa Uhuru ulipofikishwa katika maeneo yao._

_”Kwakweli haijawahi kutokea heshima kama hii kuushika huu Mwenge wa Uhuru,Mungu ambariki Mkuu wa Wilaya yetu Mhe.Kalisti Lazaro kwa Upendo huu,Mungu ambariki Mama yetu Dk.Samia” alisikika Sista mmoja akisema._

_Mwenge wa Uhuru umemaliza mbio zake leo tarehe 16.06.2023 ambapo umezunguuka katika Halmashauri mbili za Wilaya ya Lushoto na Majimbo matatu hata hivyo miradi yote imepita vyema na kuwekewa mawe ya Msingi._

_Wananchi wa Walaya ya Lushoto wamewapongeza sana Viongozi wa Chama na Serikali,Waheshimiwa Wabunge na Watumishi wote walio fanikisha kusimamia Miradi hiyo kwa Uadilifu.


Mwisho .