Site icon A24TV News

ARUSHA LIVE BAR MWAKA MOJA NI BALAA MAADHIMISHO YAKE YATIKISA JIJI LA ARUSHA.

Bar Maarufu jijini Arusha ya Arusha Live September 16 imeadhimisha Mwaka moja toka kuanza Shughuli zake huku wateja wakionekana kufuraiya kupata fursa ya kushiriki sherehe izo kwa furaha kubwa sana na wamiliki wa Arusha live

Arusha live Miongoni mwa bar zinazo vutia katika huduma zake na wahudumu wenye mvuto mkubwa kwa wateja wake.

Tazama picha katika matukio mbali mbali.

Picha zikionyesha matukio mbali mbali ya ushereshaji wa mwaka moja wa bar ya Arusha live.

 

Mwisho .