Site icon A24TV News

MTAALAMU KUTOKA TUME YA MADINI, JOHN MAGANGA AKIWASILISHA JAMBO KWENYE KIKAO KAZI CHA WATOA HUDUMA LESENI BURELA

HABARI PICHA

MTAALAMU KUTOKA TUME YA MADINI, JOHN MAGANGA AKIWASILISHA JAMBO KWENYE KIKAO KAZI CHA WATOA HUDUMA LESENI BURELA KIKAO KAZI HICHO KIMEFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA EPZ BOMBILI HALMASHAURI YA MJI WA GEITA LEO SEPTEMBA 22,2023 MKOANI GEITA

Na Richard Mrusha Geita

Kikao kazi chicho kimejiri wakati maonesho ya sita ya kitaifa ya teknolojia ya madini yakiwa yamenza septemba 20,2023 ambayo yanatarajiwa kufunguliwa septemba 23,2023 ambapo mgeni rasmi atakuwa Naibu waziri Mkuu DKT. Doto Biteko

Maganga ameshiriki katika kikao kazi cha wataoa huduma leseni zinahusiana na uchimbaji madini na uwezeshaji mitaji.

Aidha kikao kazi hicho kimefunguliwa na mgeni rasmi ambaye ni Naibu waziri wa viwanda biashara Exaud S kigahe.

 

Mwisho.