Site icon A24TV News

ASKOFU MASSANGWA KUTOA WAKFU KANISA LA ZAMANI NA MADUKA, USHARIKA WA SALEI , LEVOLOSI

Askofu Mkuu wa Dayosisi ya Kaskazini Kati Dkt.Solomon Jacob Masangwa anawakaribisha waumini wote pamoja na wadau wa maendeleo kuudhuria katika ibada ya historia ya Kutoa wakfu kanisa la zamani  Pamoja na Maduka ya, KKKT Usharika wa Salei / levolosi ,na baadae harambee ujenzi wa shule ya watoto wa jumapili ya (Sunday School .)