Site icon A24TV News

DKT. BITEKO AMWAKILISHA RAIS SAMIA SHEREHE ZA UHURU NCHINI UGANDA

Na Mwandishi wa A24tv .

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko leo Oktoba 8, 2023 ameondoka nchini kuelekea nchini Uganda kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 61 ya Uhuru wa nchi hiyo.

Maadhimisho hayo yanatarajiwa kufanyika Oktoba 9, 2023 nchini humo

 

Mwisho.