Site icon A24TV News

MAKATIBU WAKUU TANZANIA NA ZAMBIA WAKUTANA KUJADILI CHANGAMOTO ZA KIBIASHARA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah akiwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara na Viwanda Zambia Bi Lillian Bwalya pamoja na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha (Usimamizi na Uchumi) Bw. Elijah Mwandumbya wakiongoza Mkutano ngazi ya Makatibu Wakuu wakati wa Mkutano wa Pili wa Pamoja wa Kujadili Changamoto za Biashara baina ya nchi hizo unaofanyika katika Mpaka wa Nakonde – Zambia Novemba 07, 2023.

Mwisho .