Site icon A24TV News

WAREMBO WA AFRIKANA WALIVYO NOGESHA MIAKA 14 YA AFRICANA LOUNGE ,TUNALIPWA VIZURI NA KWA WAKATI MKURUGENZI WETU NI MZUNGU MWEUSI

Aijawai kutokea katika kumbukizi ya kuanzishwa kwa bar maarufu ya Afrocana Lounge ya Jijini Arusha

Wakiongea na vyombo vya habari wafanyakazi wa Bar hiyo wamejitamba ushirikiano walio nao na boss wao fred kwamba ni wa aina yake na kwamba wanaishi mae kama moja ya wateja kutokana na kua na mapenzi mema katika kazi anayo onyesha wafanyakzi wake tofauti na maboss wengine kudharau wahudumu wa bar

Matukiokatika Picha Miaka14 ya AfricanaLounge