Site icon A24TV News

HABARI PICHA KATIBU MTENDAJIKWENYE MKUTANO TUME YA MADINI, MHE YAHYA SAMAMBA AKIWASILISHA JAMBO

HABARI PICHA KATIBU MTENDAJI TUME YA MADINI, MHE YAHYA SAMAMBA AKIWASILISHA JAMBO KWENYE MKUTANO WA WATOA HUDUMA KWA WAMILIKI WA LESENI ZA MADINI MWANZA .

Na mwandishi wetu Mwanza.

“Tumekutana kujitathmini tangu mwaka 2018 Tume ya Madini ilipopewa jukumu la kusimamia masuala ya CSR na Local Content tumefanya nini? tumefanikiwa kwa kiasi gani na changamoto ni zipi, Mhe. Mgeni rasmi niseme tu tangu kipindi hicho kuna mafanikio makubwa”

KATIBU MTENDAJI – TUME YA MADINI, MHE. YAHYA SAMAMBA MKUTANO WA WAZIRI WA MADINI NA WATOA HUDUMA KWA WAMILIKI WA LESENI ZA MADINI, MWANZA