Katika ujana wangu nilijikuta nipo njia panda ambayo hadi leo naweza sema imeniweka kwenye mazingira magumu ila imenipa funzo kuwa tiba za asili ni muhimu kwa sisi wa Afrika na dunia kwa ujumla.
Kwa majina naitwa Aisha Mohamed mkazi wa Mombasa nchini Kenya, miaka kama sita iliyopita nilikutana na kijana mmoja anayetokea familia ya kutajiri, tulipendana sana na tulifanya kila kitu, baada ya muda nilibeba ujauzito wake.
Kwa bahati mbaya, kumbe mwenzangu alikuwa na matatizo tangu kuzaliwa bila mimi kujua na hakuwahi kuniambia, sina hakika ni matatizo gani, ila alikuwa hawezi kumtungisha mwanamke mimba.
Hivyo nilipomwambia nina ujauzito wake, alikataa kabisa mimba, mimi nilidhani labda uoga tu ila aliendelea kunisisitiza nimtafute mwenye mimba maana sio yake. Huo ndio ulikuwa msimamo wake wa siku zote.
Kwa kiasi kikubwa nilishangaa sana, nikikumbuka mbona mimi sio mchepukaji kabisa na sijawahi kutembea na mwanaume mwingine zaidi yake na sina kumbukumbu ya kufanya usaliti? imekuaje tena?
Siwezi kusahau, alinipiga sana yaani akinishtumu kuwa mimi ni msaliti na nimtafute mwenye mimba, alinikataa katu katu kwa asilimia 100, hakunitaka tena kuniona katika maisha yake.
Wakati sielewi mwelekeo wa maisha, alitokea kijana ambaye ni mwalimu, nashukuru kweli alitokea kunipenda na alinitolea mpaka posa nyumbani kwetu hivyo nikawa nasubiria tu ndoa.
Siku moja uliingia ugeni mzito pale nyumbani walituweka mtu kati na wazee wao wakisisitiza mimba sio yao na nimtaje mwenye mimba, walisisitiza kuwa mtoto wao ana matatizo na hawezi kumpa mtu mimba hivyo nipambane hali yangu na nisimjue tena.
Acha tu, niliumia sana, mbaya zaidi nilikuwa na uhakika kuwa ni yake na hakuna mtu anayenielewa, sitakaa kusahau nilijifungua kwa tabu kidogo sababu ya stress japo. Yule mwalimu alisema atalea mtoto na hana shida.
Cha ajabu kujifungua mtoto amefanana sana yule kaka, tena kafanana na baba yake kila kitu, sasa ndugu wakaajua yule ni mtoto wao, hivyo wakataka kumgharamia matuzo kila kitu.
Yule mpenzi wangu alikuja nyumbani pekee yake na kunieleza kweli alikuwa na tatizo hilo na alienda Hospitali mbalimbali bila kupona, ila aliamua kutumia dawa za mitishamba kwa siri kutoka kwa Kiwanga Doctors bila kuwaambia ndugu zake. Na sasa ameamini kweli dawa za Kiwanga zinafanya kazi vizuri.
Tulikuja kukaa kama familia na kuzungumza kuhusu jambo hilo na mambo yakakaa sawa na sasa tunaishi pamoja na mtoto wetu na siku sio nyingi naweza kusema tunatarajia mtoto mwingine.
Kutokana na kile alichonieleza mpenzi wangu hapo awali kuwa Kiwanga Doctors ndiye alimpa tiba, nilitaka sana kumfahamu mtu huyo, nilikiingia kwenye tovuti yake www.kiwangadoctors.com na kubaini mambo kadhaa.
Kwanza ni kweli anatoa huduma hiyo, pia anawasaidia wanawake kubeba ujauzito, anatibu magonjwa kama kisukari, presha, upungufu wa nguvu za kiume, miguu kuwaka moto, kisonono n.k. Mpigie sasa kwa namba +254769404965.
Mwisho.