Site icon A24TV News

KITAMBI NOMA INTERNATIONAL YAMWAGA MISAADA MBALI MBALI KWA HOSPITAL YA MKOA MOUNT MERU KWA WATOTO NJITI

Kitambi Noma yamwaga misaada Hospital ya Rufaa ya Mkoa wa Arusha Mount Meru kwa watoto Njiti na wazazi walio jifungua na kukosa uwezo wa kulelea watoto wachanga .

Karibu Arusha24Tv kutazama Matukio katika picha namna wajumbe wa kitambi noma walivyo gawa misaada ya kutosha kwa hospital ya rufaa ya mkoa Mount Meru .

Mwisho