Site icon A24TV News

Nilipuliziwa dawa za usingizi na kuibiwa, Bosi akaamua kunipa kibano

Jina langu Selemani mkazi wa Mombasa, Kenya, nilikuwa nafanya kazi ya ulinzi nyumbani kwa Bosi wangu, nilifanya kazi hiyo kwa miaka zaidi ya 15 na niliipenda sana lakini mkasa niliyokuja kukutana nao ndio ulinifanya kuachana na kazi

hiyo licha ya kumshinda Mahakamani.
Kamwe siwezi kusahua tukio la kusingiziwa wizi na Bosi wangu kitu kilichopelekea kusota Mahakamani kwa miaka mingi hadi pale ambapo Jaji alisoma hukumu na kuonekana sina hatia. Hivyo nikawa nimeshinda kesi hiyo ingawa kila mtu alijua ningefungwa kutokana aliyenishtaki alikuwa mwenye uwezo mkubwa kifedha.
Nakumbuka usiku mmoja nikiwa katika lango la Bosi wangu nilisikia harufu ambayo sikuweza kubaini mara moja ni ya kitu gani, lakini ilikuwa ni ya kemikali inayotumika na majambazi kupumbaza walinzi na wenye nyumba kisha kuwaibia mali zao.
Basi baada ya kuvuta harufu ile nilisinzia pale pale, majambazi wale walitumia nafasi hiyo kuingia ndani na kuvunja na kuiba mali, bahati mbaya zaidi siku hiyo Bosi wangu hakuwepo bali mkewe na watoto wake.
Nilikuja kuzinduka baada ya muda, nilisikia watu wakilia ndani, nilipofuatilia waliniambia kumeibiwa na kuniuliza nilikuwa wapi, niliwaambia hata sielewi ni jambo gani lilotokea.
Siku iliyofuata Bosi wangu alikuja na kunihoji, lakini akahisi mimi nilishirikiana na majambazi wale kumuibia, ghafla nilikamatwa na kufikishwa Polisi kuhojiwa, nilishikiliwa Polisi kwa siku mbili kisha nikapelekwa Mahakamani na kufunguliwa kesi ya wizi.
Watu walikuwa wananiambia Bosi wangu huyu ameshafunga watu wengi kwani hajawahi kushindwa kesi Mahakamani kutokana na nguvu ya fedha aliyonayo, wengi walinishauri nifanye jambo.
“Rafiki yangu tafuta dawa ya kushinda kesi hii vinginevyo utafungwa na hakuna mtu ambaye atakuja kukusaidia, Kiwanga Doctors anaweza kukusaidia, mpigie sasa (+254 769404965) ili upate haki yako kwa wepesi,” nakumbuka alinishauri rafiki yangu mmoja.
Basi niliwasiliana naye na akanitoa hofu kuwa nitashinda kesi hiyo bila hofu yoyote ile, basi nikawa na hudhuria Mahakamani kila tarehe iliyotajwa huku Bosi wangu akiwakilishwa na Wanasheria wake wabobezi ambao wamemsaidia kushinda kesi nyingi.
Siku ya hukumu kusomwa Bosi wangu naye alikuja Mahakamani, Jaji aliyesoma hukumu ile alisema baada ya kusikiliza pande zote mbili amejiridhisha pasina shaka kuwa sina hatia hivyo akatangaza kuwa nipo huru.
Hata hivyo, Bosi wangu na Wanasheria wake hawakuridhika na uamuzi huo maana ilikuwa ndio mara yao ya kwanza kushindwa Mahakamani, hivyo wakaamua kukata rufaa. Lakini hata hukumu nyingine ilipokuja kutolewa bado niliibuka mshindi, ni kitu ambacho hakuna mtu ambaye alitarajia.
Mpigie Kiwanga Doctors +254 769404965 au www.kiwangadoctors.com
Mwisho.