Site icon A24TV News

RAIS DK.MWINYI APOKEA SALAMU ZA POLE KUTOKA KWA DKT. SHEIN

Na Mosses Mashala .

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amepokea salamu za pole nyumbani kwake Ikulu Migombani kutoka kwa Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein kufuatia kifo cha Aliyekuwa Rais Mstaafu wa Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Marehemu Mzee Ali Hassan Mwinyi ambaye amefariki dunia tarehe: 29 Februari 2024 katika hospital ya Mzena, Dar es Salaam na kuzikwa Mangapwani tarehe: 02 Machi 2024.

Mwisho .