Site icon A24TV News

CHRISTOPHER KABALIKA MWENYEKITI MPYA THRAPA ACHAGULIWA KWA KISHINDO

Na Geofrey Stephen A24tv.

Chama cha Rasilimali watu na utawala ( THRAPA ) kimepata mwenyekiti mpya ambaye ni Mh christopher kabalika  Mara baada ya wanacha kumchagua kwa kishindo  kikukbwa kwa kupata kura 130 kati ya kura 190 zilizo pigwa  katika mkutano mkuu wa mwaka huku akimwangusha mgombea mwenzake. kwa kupata kura 30 tu .

Wajumbe wa mkutanko mkuu wamesema wanaimani kubwa sana na mwenyekiti wao mpya ndio maana wameweza kumpa kura za ndio kwa kishindo na wanategema mabadiliko makubwa kutoka kwakwe .

Akiongea na  A24tv kabalika amesema kwamba amepokea vyema nafasi ya kua Mwenyekiti na  kwamba ataakikisha anafanya vyema hivyo wanachama wampe ushirikiano mkubwa kukamilisha majukumu yalioko mbele yake

 

Mwisho