Site icon A24TV News

MKUU WA KITUO CHA POLISI. SEKEI ARUSHA AKUTANA NA BARAKA ZA BIBI MZEE KUTOA SHUKRANI AMETOKA DAR

Bibi afunga Safari kutoka Jijini Dar es saalam kumuona mkuu wa kituo cha Sekei Jijini Arusha. kwa lengo la kutoa shukrani mara baada ya kusaidika kumuona mkuu wa mkoa wa Arusha Poul Makonda

Mkuu uyo wa kituo cha Sekei jijini Arusha alisema kwamba alimsaidia Bibi huyo sehemu ya kulala pamoja kumkimu chakula pamoja na fedha za matumizi

Mkuu uyo amesema kwamba “Leo amekuja kunishukuru na kuomba nimsaidie aende dodoma kuonana na waziri wa ardhi maana alishahidiwa kutengenezewa nyumba yake” jambo nimefanya hivyo na nina mtakia kila la kheri mzazi wangu aweze kufanikiwa alisema mkuu wa kituo hicho cha sekei