UJENZI WA BWALO LA CHAKULA LA SHULE YA SEKONDARY MRISHO GAMBO WAELEKEA KUKAMILIKA NAKUANZA KUTUMIKA RASMI Geofrey Stephen 11 months ago Mwenekano wa Bwalo la shule ya Sekondary Mrisho Gambo unaendelea na hivi karibuni wanafunzi kuanza kutumia na kufuraiya bwalo hilo la kisasa .