Site icon A24TV News

 ELIMU YA POLISI JAMII KWA WATOTO.

ELIMU YA POLISI JAMII KWA WATOTO Mkaguzi wa kata ya Ngarenaro jijini Arusha Mkaguzi Msaidizi wa polisi Tadey Tarimo leo tarehe 21/06/2024 amepita maeneo ya Mtaa wa Darajani na kutoa elimu kwa watoto wanaoishi katika mtaa huo
Tarimo amewaasa watoto kucheza michezo salama hususani katika kipindi hiki cha likizo.

Sambamba na hilo amewataka kutokukalia kimya vitendo vya ukatili na badala yake watoe taarifa haraka katika kituo cha Polisi cha Ngarenaro kwani kipo karibu na makazi yao.

Aidha, amewataka kutowaogopa Polisi pindi wawaonapo kwani wapo kwa ajili ya kuwalinda. View 1 comment 6 hours ago . See translation