Site icon A24TV News

WAALIMU WAMPA MKURUGENZI WA JIJI LA ARUSHA MAUA YAKE NI BAADA YA KUTIMIZA AHADI YAKE KWAO

Walimu wa Murieti Darajani kupitia kikao chao leo asubuhi wamemshukuru mkurugenzi wa jiji la Arusha Juma Hamsini kwa kwa kutimiza ahadi yake  ya  ambayoViti Na meza za walimu uaiitoa tarehe 2/2 wakati wa ziara ya Kamati ya Siasa ya Wilaya.

Waaliku hao wamempngeza mkurugenzi na kumwombea kheri kwa Mungu ambariki katika shughuli zake za  Halmashauri ya Jiji la Arusha .

Mwisho .