Site icon A24TV News

ANTONY MALIYA KUZINDUA MASHINDANO YA WEST CHAMPIONS LEAGUE

Na Bahati Hai

Wananchi Wilayani Siha mkoani Kilimanjaro wanaalikwa kwenye Uzinduzi wa Mashindano ya West CHAMPIONS LEAGUE yatakayo anzakutimua vumbi Juma pili Julay 28 mwaka huu,Saa saba Mchana katika Uwanja wa Kilimahewa Matadi West Kilimanjaro

Hayo yamesemwa leo na ELI Pius mwasisi wa mashindano hayo mwaka wa tatu ,ambapo amesema ya uzinduzi itakuwa kati ya Zinduka fc na Kware kutoka Wilayani Hai

Zinduka FC imerudi Wale Mashabiki wa Zinduka wafike kwa Wingi kujakuiona Zinduka Mpya yenye Nguvu Mpya na Kasi ya 4G

BURUDANI KEDEKEDE ZITAKUWEPO .TUTAKUWA NA WASANII WAKUMBWA WATAKAO PAFOMU KWENYE JUKWAA .WASANII KAMA MR VOICE POLELA ,DULLA NATION ,TINII MWAMBA,MANSON TZ NAWENGINE WENGI

FIKA BILA KUKOSA.

TEAM ZOTE ZIFIKE UWANJANI KWA AJILI YA KUGAIWA JEZI NA MIPIRA

MGENI RASIMI ATAKUWA BWANA ANTHONY MALLYA MDAU MKUBWA WA MAENDELEO WILAYA YA SIHA.

 

Yahano Magala ,amemshuru mdhanimi huyo kwa kuona umuhimu wa michezo kwani kwa sasa michezo ni ajira.

 

Ambapo timu 16 zitashiriki Mashinda hayo kati ya hizo mbili zinatoka Wilaya ya Hai mkoani hapa

Mwisho