Site icon A24TV News

MFANYA BIASHARA MAARUFU NA KADA WA CCM RICHARD POUL AMPONGEZA RAIS KWA KUWATENGUA NAPE NA JANUARY

Mfanya biashara maarufu wa  Richard Poul Marcas amemshukuru Rais wa awamu ya sita Mh Samia Suluhu Hassan kwa kuwatengua watoto wa vigogo ambao walikua mawaziri bila kujali kwamba wanamajina makubwa katika nchii hii

Marcas amesema Nampongeza sana Mh Rais kwa kuwatengua January Makamba pamoja na Nape Nauye kwa sababu walisha kosa sifa zakua mawaziri katika serikali ya awamu ya sita pia Mh Rais  ajaangalia kwamba ni watoto wa watu wakubwa alicho angalia ni utendaji imara katika kuwatumikia wananchi .

TUNAKUSHUKURU SANA KWA UTEUZI MZURI ULIOUFANYA KWANI KIKULACHO KIKO UKINGONI KWAKO SASA WAKAJIPAGE VIZURI 2025. NA HUKU MTAANI HATUWATAKI KABISA LABDA WARNDE CHADEMA >. SASA BADO 2 UKIWATUMBUWA NCHI ITAKUWA SALAMA SASA

Mwisho .