Site icon A24TV News

MWENGE WA UHURU RASMI MKOANI ARUSHA WAANZA KAZI KWA KUZINDUA MIRADI 9 WILAYANI ARUMERU

Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Queen Sendiga akimkabidhi kaimu Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Nurdin Babu ambae pia ni Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mwenge wa uhuru tayari kwa kukimbizwa kwenye wilaya za Mkoa wa Arusha.

Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Nurdin Babu ambae pia ni mkuu wa mkoa wa kilimanjaro akimkabidhi Mkuu wa wilaya ya Arumeru Mwenge wa uhuru Mhe. Emmanuela Kaganda tayari kukimbizwa kwenye miradi ya wilaya ya Arumeru ikiwa leo utakimbizwa katika halmashauri ya Meru na kumuulika miradi 9.

Matukio katika picha yakionyesha Mwenge wa Uhuru tayari kuzungukia Miradi mbali mbali wiayani Arumeru .