Site icon A24TV News

DIT YAIBUKA KIDEDEA KWA KUFANYA VIZURI KATIKA UKAGUZI MASHIRIKA YA UMMA KWA MWAKA FEDHA 202,2023

Eng. Dkt. Richard Masika (Mwenyekiti wa Baraza DIT) na Prof Preskedis Ndomba (Mkuu wa Taasisi ya DIT) wakipokea Tuzo ya Taasisi iliyofanya vizuri (nafasi ya 3) katika Ukaguzi Wa Mashirika Ya Umma Kwa Mwaka Wa Fedha 2022-23 kutoka kwa Rais wa JMT Mhe. Samia Suluh Hassan katika KIKAO KAZI CHA WENYEVITI WA BODI NA WATENDAJI WAKUU WA TAASISI ZA UMMA, AICC Arusha.

 

Mwisho