Site icon A24TV News

WANANCHI WENYE ASIRA KALI WAMCHOMA MOTO KIBAKA KISA WIZI WA KUKU

Na Bahati Siha,

Wananchi wenye hasira Kijijii cha Samaki Maini Kata ya Livishi Wilayani Siha mkoani Kilimanjaro wamemchoma moto kibaka anayekadiriwa kuwa na miaka (40)na kufariki Dunia Kwa tuhuma za wizi wa vitu mbali mbali ikiwamo kuku,Pikipiki na mizinga ya nyuki na kurudisha Kijiji hicho maendeleao nyuma.

Mwenyekiti wa Kijijii hicho Solomoni Nkini ,kizungumza na waandishi wa habari walifika eneo la tukio,amesema wamekusudia kuanzisha ulinzi shirikishi kutokana na matukio hayo ya wizi yamethiri katika eneo hili

“Ni kweli katika kata hii pamoja na Kijijii hiki matukio ni mengine ya wizi ,kuku,ng’ombe, Mizinga ya Nyuki,Pikipiki mpaka sasa zaidi ya pikipiki 25 zimeshaibiwa ,Kwa sasa tumeona tuanzishe ulinzi shirikishi ndiyo swala tumeliona”Amesema Solomoni

Akielezea tukio nzima amesema alipigiwa simu kwamba kuna wasamaria wema wamekuta mwili ambao haujulikani umechomwa moto

Anasema alipofika alikuta ni kweli na ndipo alipomjulisha mtendaji wakata ilikuweza kuwasiliana na police wa kituo cha Sanya juu,wamefika na kuchukua maelezo kwetu na Kwa wale walioibiwa ambapo waliuchumua mwili na kumpeleka hospital ya kibongoto Kwa ajili ya kuuhifadhi katika chumba cha kuhifdhia maiti

Solomoni amesema kwa usiku wa kuankia Leo nyumba kama tano katika Kijijii cha Ngirinyi waliiba na walipotilimuliwa uko wakakimbilia katika Kijijii hiki na wanavunji nyumba tatu na kuchukua bia na kuku,ili ni kundi wapo wengi ,wanarejesha juhudi za maendeleao nyuma Kwa kiasi kikubwa sana

Hata hivyo baadhi ya Wananchi ambao hawakutaka kutaka majina yao yatajwe wamesema Wanamfahamu Kwa majina ya (Pendo Mosha)ni mkazi wa Kijiji cha Mae juu amekuwa kibaka kwawizi wa vitu mbali mbali umekithiri ,wizi wa mifugo kuku, Ng’ombe,Nguruwe Kwa kweli amani ya ufugaji imetoweka wamesema amevuna alichopanda.

Wameeleza kwamba Wachungaji wa Eneo hilo walishafanya maombi,Kwa watu wanaotuhumiwa kufanya vitendo hivyo,akiwamo huyo aliyeuwawa,lakini hakukoma lakini watu wameendelea kuibiwa

Kamanda wa Police mkoani hapa Simon Maigws amekiri kutokea Kwa tukio hilo na kusema ni kibaka aliyeuliwa , amesema hali ya uhalifu hawiwezi kumalizika bila kushirikiana ni jambo muhimu sana

Mwish