Site icon A24TV News

WAZIRI JAFO ATEMBELEA KIWANDA CHA SUNFLAG JIJIJI ARUSHA APONGEZA UWEKEZAJI MKUBWA

Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani Jafo (Mb.) akizungumza na Wafanyakazi wa Kiwanda cha nguo cha Sunflag wakati wa ziara yake Mkoa wa Arusha Agosti 24, 2024 ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake Kanda ya Kaskazini. Kiwanda hiki kinafanya kazi na kimeajiri takribani wafanyakazi 2800 na kinauza bidhaa zake ndani na nje ya nchi.