Site icon A24TV News

RAIS MWINYI AMTEMBELEA MZEE GAVU

Na Mosses Mashala Zanzibar .

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, amemtembelea Mzee Haji Ussi Haji Gavu, Mwenyekiti Mstaafu wa CCM wa Mkoa wa Kusini Unguja, nyumbani kwake Michamvi Msuakini, Wilaya ya Kusini, Mkoa wa Kusini Unguja.

Rais Dk. Mwinyi ameendelea na utaratibu wake wa kuwatembelea na kuwafariji wananchi katika maeneo mbalimbali.

Mkoa wa Kusini Unguja