Site icon A24TV News

WIKI YA AZAKI YAENDELEA KUTOA ELIMU KWA WANA AZAKI ARUSHA PICHA KATIKA MATUKIO

wiki ya Azaki kwa mwaka 2024, inayofanyika kwa siku tano na washiriki wako zaidi ya 600. Inaendelea jini Arusha huku wana azaki wakiendelea kupata fursa ya elimu ya maswala mbali mbali ya kijamii karika kumbi za mikutano Mount Meru Arusha .

Karibu kutazama picha katika matukio ya wiki ya azaki