MKUTANO WA KIKANDA WA MATUMIZI BORA YA NISHATI 2024 WAFUNGILIWA ARUSHA NA NAIBU WAZIRI MKUU BITEKO
Geofrey Stephen
Na Geofrey Stephen Arusha,
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ni mgeni rasmi katika Mkutano wa Kikanda wa Matumizi Bora ya Nishati 2024 .