Mbinu ya kurejesha penzi la zamani
Kwa sasa mimi ni binti wa miaka 27, nilikuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na Zack, kijanaMtanashati aliyependeza ajabu. Mbali na hilo, alikuwa mtu ambaye anajituma na mwenye bidii katika kazi.
Alifanya kazi ya upishi katika Hoteli moja Dar es Salaam, aliwahi kuniambia kuwa utanashati wake ndio uliofanikisha kuajiriwa katika Hoteli ile ya kifahari.
Tulichumbiana kwa muda pia naye akiwa amefurahishwa na mambo yangu, sio urembo na sauti nyororo. Katika mchezo wa kitanda hakuwa limbukeni kwani ni alikuwa Bingwa kila wakati tulipokuwa na mchuano.
Dada yeyote aliyemkaribia nisingekubali kwani nilikuwa na mipango mingi na Zack.
Hali ilikuwa shwari kwani mapenzi yetu yalidumu kwa muda wa mwaka moja na kwa kuwa nilikuwa Chuo Kikuu mwaka wa mwisho, tusingeweza kuoana wakati ule kwani masomo yangekuwa kikwazo. Nilifahamu fika kwamba Zack alikuwa ni kijana aliyetamaniwa na kinadada wengi kwani hata kazi aliyoifanya alikutana nao.
Siku zilipozidi kwenda mambo yalianza kubadilika kwani Zack hata alianza kutorudi nyumbani kama iliyokuwa kawaida yake kila wikendi. Wakati mwingine pia alisusia kupokea simu zangu au zipokelewe na mwanamke mwengine ambaye angenifokea na kuniuliza nataka nini kwa Zack.
Jambo hili lilianza kunitia wasiwasi kwani sikuamini pendo langu na Zack lingeelekezwa kwingine kwa wakati wowote.
Nilighubikwa na msongo wa mawazo kwani alikuwa ndiye mpenzi wangu wa kwanza kuwahi kumpata katika ujana wangu na sikutaka yeyote kumkaribia kwani tulikuwa na mpango wa kuoana baadaye.
Siku moja Zack alinitembelea na niliopomuliza mbona tabia zake zilikuwa zimeanza kubadilika alisema kuwa kila kitu kilikuwa shwari almradi niweze kumwamini. Nilifahamu fika kwamba hangekubali jambo lolote lilikuwa baya kwani pia yeye alikuwa ananipenda na kunithamini ajabu.
Lakini akilini nilijua kwamba Zack alikuwa akinificha ukweli wa mambo, pia nilifahamu kuwa alikuwa keshapata mpango wa kando jambo lililonikasirisha kwani urembo wangu huu ulikuwa ni tosha kuwa na mpenzi mwaminifu kwa wakati wowote.
Jinsi muda ulivyokuwa ukisonga ndivyo mamabo yalikuwa yanakuwa hata mabaya zaidi kwani wakati mwingine hata alisusia kula uroda na mimi.
Nilifahamu kwamba alikuwa amepata mpenzi mwingine na hapo mahusiano yetu yakaisha kwa wakati ule huku nikiachwa mpweke.
Nilikuwa na mipango ya kuolewa na Zack lakini hali ilikuwa ngumu zaidi kwani dalili zote zilihashira hakuna chochote kingefanyika kati yangu naye.
Nilibaki nimesononeka hata zaidi kwani wakati mwingine alipiga picha na kuweka Facebook wakiwa na mpenzi wake mpya. Jambo hili lilinipa Presha na hata wakati mwingine nilijaribu hata kujitia kitanzi kabla ya kuokolewa.
Hali hii pia iliathiri masomo yangu kwani mtihani wa mwisho chuoni kabla ya kufuzu sikupata shahada niliyotarajia. Nilipiga moyo konde na kujiambia kwamba ningelipiza kwani upendo wangu kwa ghulamu yule ulikuwa ni tosha kwangu, hata chakula singekula almradi alikuwa karibu yangu.
Baada ya siku kadhaa nilikumbana na tovuti ya Kiwanga Doctors nilipokuwa katika hali ya kusoma vitu mtandaoni. Nilifuata kila kitu kilichoendelea kwenye tovuti ile na hapo nikaona kuwa Kiwanga Doctors alikuwa na uwezo wa kunisaidia kusuluhisha mzozo wangu wa kimapenzi.
Siku iliyofuatia nilielekea hadi kwenye ofisi za Kiwanga Doctors kwa ajili ya usaidizi, alinishugulikia na nikarejea nyumbani. Baada ya siku mbili Zack alinipigia simu kwamba alitaka tukutane. Siku iliyofuata nilienda kwake na hapo alinishangaza baada ya kuniarifu nifunge macho yangu kwa ajili ya zawadi.
Nilipofungua alikuwa ameshavisha kidole changu pete hali iliyonifanya kulia kwa upendo kwani pia yeye alikuwa amepiga magoti huku akiomba msamaha. Tangu siku ile mahusiano yetu yalikuwa imara kwani mwishowe tulifunga ndoa ya kifahari na kuwa mke na mume.
Kiwanga Doctors ana uwezo wa kutibu kaswende, kisonono na magonjwa mengineyo. Anasuluhisha pia mizozo ya kimapenzi kama alivyonisaidia kupata mwanga katika mahusiano yangu na Zack.
Migogoro ya mashamba pia anasuluhisha kwa wakati wowote. Kwa ufupi Kiwanga Doctors huyu ndiye bora zaidi kwenye ukanda huu wa Afrika ya Mashariki kwa ajili ya ueledi wake wa kusuluhisha shida mbalimbali kwa muda mfupi.
Basi chukua hatua muhimu leo hii kwa kuwasiliana na Kiwanga Doctors kupitia namba +255618536050 au tembelea tovuti yao, kwa maelezo zaidi kuhusu huduma zao ambazo zimewasaidia wengi katika eneo zima la Afrika Mashariki na Kati.