Diwani, Prosper Msofe, amejitokeza kuchukua fomu ya kuwania tena nafasi hiyo katika awamu ya pili.
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tawi la Daraja Ngarasoni Lomayani, alimkabidhi fomu Msofe na kusisitiza kwamba kazi nzuri na utu ni msingi muhimu kwa chama katika kusukuma mbele gurudumu Ia maendeleo ya jamii.
Mwisho .