Site icon A24TV News

Uchaguzi wa kuwapata Madiwani wa viti maalumu kupitia Umoja wa wanawake Tanzania (UWT), wilaya ya siha mkoani Kilimanjaro Umehitimishwa leo julai 20,2025

Uchaguzi wa kuwapata Madiwani wa viti maalumu kupitia Umoja wa wanawake Tanzania (UWT), wilaya ya siha mkoani Kilimanjaro umehitimishwa leo julai 20,202

Uchaguzi huo ulifanyika katika ukumbi RC, Sanya juu, Wilayani humo,ambapo katika uchazi huo,Sauda lema,ameangukia pua kwa kushindwa kutetea nafasi yake Tarafa ya siha kusini

Katibu wa UWT wilaya humo Mwanaidi Kalegela, msimamizi wa uchaguzi huo.

Amewataja walifanikiwa kupitia katika kinyang’nyiro hicho,ni Lilian Mollel Tarafa ya siha kusini kura 543,Tawida Basso,Tarafa ya siha kaskazin,kura 469,Jane Kimaro Tarafa ya siha mashariki

Wengine ni Egne Nzao , Tarafa ya siha kati,kura 465,na Resting Mwasha,kura 394

Kwa upande wa Wilaya ya Hai,walioshida,ni lightnes Laizer na julith Mvungi , Tarafa ya masama,upendo sawe na Zakina Mushi, Tarafa ya machame

Irene Mkay na Hilda Mushi,Tarafa ya lyamungo,na kura ya kampuni Eliesh Ulomi

Walioshindwa kutetea nafasi zao ,Amina swai, Tarafa ya masama,Halima Mdee na Hausen Nkya Tarafa ya lyamungo

Haya matokeo ni kwa mujibu wa katibu wa( UWT) wilaya ya Hai ,Petronila Tairo

Mwisho