Site icon A24TV News

WANANCHI KWA KUSHIRIKIANA NA INSPECTOR TADEY WAFANYA USAFI ENEO LA KAMBI YA VISI KUWEKA MAZINGIRA KATIKA HALI YA USALAMA

Katika kuakikisha kata ya Ngarenaro Jijini Arusha inaendelea kukaa salama bila matukio ya kialifu Polisi kata  Tadey Tarimo pamoja na wanachi wameendasha zoezi la kufanya usafi kwa kufyeka vichaka atarishi ambavyo waalifu wanaweza kujificha na kufanya matukio mabaya

Pia inspector TARIMO amewaomba wananchi kuendelea kumpa ushirikiano katika kuwafichiwa wahalifu na uhalifu katika kata hiyo

Tarimo amesema ni Desturi katika kata hiyo kuendeleza utaratibu wa kudumisha usalama  katika kata hiyo ambayo kwa sasa ni mfano wa kuigwa katika kata zenye utulivu katika jiji la Arusha

Mwisho .