Na MwandishinA24tv .
Katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 10 ya Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), Mgeni Rasmi Mheshimiwa Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, akiambatana na Waziri wa Nchi – Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Mhe. Ridhiwani Kikwete, waliongoza zoezi la utoaji wa tuzo kwa waajiri na wadau waliotoa mchango mkubwa katika safari ya WCF.
Tukio hili ni ushuhuda wa mshikamano baina ya serikali, sekta binafsi na jamii katika kuhakikisha haki na ustawi wa mfanyakazi wa Kitanzania
Kampuni ya A-Z Goup LTD ya Jijini Arusha imeibuka kidedea mara baada ya kupata tuzo mbili nzito
Kuwa kampuni yakwanza kuwa na mfumo madhubuti wa usalama mahari pakazi na tuzo yapili yakuwa kampuni yakwanza kwakutowa taarifa za hajali kwa wakati.
Mwisho.