Na Joseph Ngilisho ARUSHA Wananchi na wakazi wa mikoa ya Kanda ya Kaskazini wameshauriwa kujitokeza kwa wingi kupima na kupata tiba ya Magonjwa ya Moyo katika Hospitali ya Rufaa ya Arusha Lutheran Medical Centre (ALMC)baada ya kubainika kuwa watu wengi wenye matatizo hayo wanatoka ukanda wa kaskazini hususani mikoa ya Arusha na Manyara. Rai hiyo imetolewa na Daktari Bingwa na Bobezi wa Magonjwa ya Moyo Kutoka hospitali ya taifa ya Jakaya Kikwete (JKCI) dkt Samweli Rweyemamu,wakati akiongea na waandishi wa habari katika hospitali ya ALMC jiiini Arusha na kusisitiza kuwa bado wanaendelea kutoa huduma ya matibabu ya moyo kwa wananchi…
Author: Ngirisho1
Na Joseph Ngilisho ARUSHA JUMLA ya Walimu wakuu wa shule za msingi wapatao 9132 katika mikoa 13 nchini wamepatiwa mafunzo ya uongozi, usimamizi na uendeshaji wa shule yaliyolenga kuwajengea ujuzi na maarifa ili kufikia viwango bora vya elimu kwa kuboresha utendaji wao wa kazi. Hayo yamebainishwa jana na Mwenyekiti wa bodi ya ushauri ya ADEM ,Dkt Leonard Akwilapo wakati akifunga mafunzo ya siku tatu katika halmashauri ya Arusha,kwa awamu ya tatu kwa walimu wakuu 1398 wa mikoa ya Arusha na Manyara yaliyoandaliwa na wakala wa maendeleo ya uongozi wa Elimu ADEM na kufadhiliwa na benki kuu ya dunia chini ya…
BY A24 TV ARUSHA KAMISHNA Uhifadhi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS),Profesa Dos Santos Silayo amewataka wadau wa ufugaji nyuki nchini kutumia fursa za mkutano wa Dunia wa Ufugaji wa Nyuki (Apimondia) unaotarajia kufanyika 2027 kuvutia wawekezaji. Profesa Silayo ameyasema hayo wakati aliposhiriki mbio za Nyuki zilizoshirikisha wanariadha zaidi ya 500 kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika, Ulaya na Asia zenye urefu wa kilometa 10 na kilometa 21 zitakazofanyika kwenye viwanja vya General Tyre jijini Arusha. Alisema utunzaji wa mazingira utawezesha nyuki kuzaliana kwa wingu na kuwezesha uchumi kukua na kutoa rai kwa wananchi kufunga nyuki kwa kutumia mizinga…
Ongeza mauzo katika biashara na kuvuta wateja Jina langu ni Amina kutokea Mbeya nchini Tanzania, toka mwaka 2016 mume wangu alikuwa akinipa mtaji, kila nikifungua biashara ikifika miezi minne inakufa ingawa mwanzo kila kitu kinakuwa vizuri ila baadaye zinakufa. Alikata tamaa kunipa mtaji na nilikubali tu kuwa mama wa nyumbani, akaniambia nisubiri kama serikali ikitangaza ajira basi niombe kazi maana nilikuwa nimesoma Udaktari. Ingawa alikua ananihudumia kwa kila kitu lakini bado sikua na amani, nilikua naumia kwani nililazimika kuomba kila kitu hadi kuna muda nikawa naona aibu kwake. Mwaka 2010 niliweza kutafuta mtaji wangu mwenyewe, nilifungua biashara ya nguo, sehemu…
Na Joseph Ngilisho ARUSHA Chama Cha Mapinduzi ccm kimefanya uteuzi wa wagombea katika mitaa mbalimbali hapa nchini ambapo kata ya Themi Mashariki jijini Arusha kimefanikiwa kuteuwa wagombea watakaokiwakilisha vema katika uchaguzi wa serikali za mitaa kuwakabili wapinzani, unaotarajiwa kufanyika Novemba 27 nwaka huu. Mwenyekiti wa ccm katika kata hiyo Thomas Munisi alisema uchaguzi huo umeenda vizuri baada ya kuwa na mwitikio mkubwa wa wanachama wa ccm ambao walifurika kutekeleza haki yao ya msingi ya kuchagua viongozi watakaochuana na vyama vya siasa. Munis ambaye aliongoza mamia ya wanachama hao kupiga kura alisema wanaimani uteuzi walioufanya utaiwakilisha vema ccm katika mtaa huo…
Fanya hivi ukutane na muujiza wa kupata kazi au ajira kwa wepesi! Jina langu ni Zakayo wa Arusha, Tanzania mwaka jana nikaona kazi zimetangazwa katika shirika kubwa, na wanataka coordinator, mtu mwenye uzoefu, nikaomba ile kazi kwa moyo mmoja. Nikawa nasubiri majibu, baada ya wiki 3, wakanipigia simu, kwamba kuna usaili, atakiwa kufika bila kukosa, nilifurahi sana nikaona huu ndio mwanzo wa kuipata hiyo kazi. Siku ya usaili, nikawahi mapema, walisema saa mbili, mimi nikafika saa moja na nusu, nikapokelewa, nikakaa mapokezi kwenye viti vya wageni. Nikatulia hapo kungoja kifuatacho. Ghafla akaingia mama mmoja safi, kavaa kibosi, kwa kweli alikuwa…
Dawa ya kumrejesha mpenzi wako aliyekimbia Jina langu ni Hamza kutokea Dar es Salaam, Tanzania, nilikuwa na mpenzi wangu ambaye nilimpenda sana, nilimgharamikia kila kitu kwa lengo la kuja kumuoa hapo baadaye lakini akaja kunisaliti na mtu mwingine na kuniacha bila huruma. Katika mahusiano yetu tulikuwa tunapigiana simu sana usiku na kuzungumza mipango yetu ya maisha na ndoa yetu itakavyokuwa, ilikuwa ni raha ajabu. Baada ya muda kila ambapo nilipokuwa napiga simu yake ilikuwa inatumika na muda mwingine alikuwa hapokei kabisa, hata hata baadaye alikuwa hanitafuti. Nilipomuuliza alikuwa anajibu kuwa ametingwa na kazi nyingi, mimi nililazimika kumuelewa kutokana nilimpenda sana…
Dawa ya kumrejesha mpenzi wako aliyekimbia Jina langu ni Hamza kutokea Dar es Salaam, Tanzania, nilikuwa na mpenzi wangu ambaye nilimpenda sana, nilimgharamikia kila kitu kwa lengo la kuja kumuoa hapo baadaye lakini akaja kunisaliti na mtu mwingine na kuniacha bila huruma. Katika mahusiano yetu tulikuwa tunapigiana simu sana usiku na kuzungumza mipango yetu ya maisha na ndoa yetu itakavyokuwa, ilikuwa ni raha ajabu. Baada ya muda kila ambapo nilipokuwa napiga simu yake ilikuwa inatumika na muda mwingine alikuwa hapokei kabisa, hata hata baadaye alikuwa hanitafuti. Nilipomuuliza alikuwa anajibu kuwa ametingwa na kazi nyingi, mimi nililazimika kumuelewa kutokana nilimpenda sana…
Mbinu iliyowasaidia wengi kufaulu mitihani ya Chuo. Jina langu ni Pascal mkazi wa Buza, Dar es Salaam, kwa sasa nimuhitumu wa Chuo Kikuu nikiwa na Shahada ya Biashara, nafanya kazi zangu na kupata fedha nzuri. Kipindi nasoma shule ya msingi sikuwa mwanafunzi mwenye akili darasani, kila mara nilikuwa mtu wa mwisho kiasi kwamba hadi wanafunzi wenzangu walikuwa wananicheka na kunikejeli. Halafu walimu mwenyewe walikuwa wanatambua sikuwa na uwezo mzuri wa kimasomo na hadi naweza kusema walishakata tamaa na mimi na kuamini sitoweza kuja kubadilika. Nilipofeli shule ya msingi wengi walisema hatukutegemea kama wewe utaweza kuja kufaulu masomo maana tunajua uwezo…
Hii ndio dawa ya uhakika ya ugonjwa wa Kisukari Jina langu ni Marko kutoka Dodoma, Tanzania, niliwahi kusumbuliwa na ugonjwa wa kisukari kwa muda mrefu sana lakini sikupata suluhisho kwa kupata matibabu kwa wakati ule kwani wazazi wangu hawakuwa na uwezo wa kifedha. Nilipata shida sana sikuweza kuendelea na masomo kwasabau ya ugonjwa wangu uliokuwa ukinisumbua miaka mingi sana, lakini siku zilivozidi kwenda nilitamani nije kuwa kawaida kama wengine wanavyofrahia maisha yao na familia zao. Mimi na wazazi wangu nalitamani nije nipone huo ugonjwa ili niweze kusaidia wazazi wangu, siku moja nilipigiwa simu na rafiki yangu ambaye yeye anaishi huko…